• HABARI MPYA

    Sunday, May 07, 2017

    YANGA NA PRISONS KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akiwa juu ya mabeki wa Tanzania Prisons, Michael Ismail na Nurdin Chona (kulia) jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-0 
    Winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya akimtoka Michael Ismail wa Prisons
    Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kushoto) akipambana na beki wa Prisons, Michael Ismail
    Winga wa Yanga, Simon Msuva akimtoka beki wa Prisons
    Kipa wa Prisons, Aaron Kalambo akienda juu kudaka dhidi ya Amissi Tambwe wa Yanga, huku akilindwa na mabeki wake
    Mchezaji wa Prisons akiruka na Amissi Tambwe wa Yanga kuwania mpira wa juu 
    Beki wa Yanga, Mwinyi Hajji Mngwali akimuacha chini mchezaji wa Prisons 
    Kikosi cha Yanga jana Uwanja wa Taifa na chini ni kikosi cha Prisons

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA PRISONS KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top