• HABARI MPYA

  Wednesday, May 03, 2017

  RONALDO AFIKISHA HAT TRICK 47 REAL IKIILAMBA ATLETICO 3-0

  Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid mabao yote matatu dakika za 10, 73 na 86 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Atletico Madrid usiku wa Jumanne Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid kwenye Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Hiyo inakuwa hat trick ya has 42 kwa Ronaldo Real Madrid na ya 47 kwa ujumla, wakati timu hizo zitarudiana Mei 10 Uwanja wa Vicente Calderon, Madrid PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFIKISHA HAT TRICK 47 REAL IKIILAMBA ATLETICO 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top