• HABARI MPYA

  Thursday, May 04, 2017

  GONZALO HIGUAIN APIGA ZOTE MBILI JUVE YAITANDIKA MONACO 2-0

  Gonzalo Higuain akiifungia Juventus bao la kwanza dakika ya 29 kati ya mawili aliyofunga lingine dakika ya 59 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Monaco kwenye Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa Louis II mjini Monaco, Ufaransa  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GONZALO HIGUAIN APIGA ZOTE MBILI JUVE YAITANDIKA MONACO 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top