• HABARI MPYA

  Tuesday, May 09, 2017

  CHELSEA YAISHUSHA DARAJA BORO YENYEWE IKIUKARIBIA UBINGWA

  Diego Costa akimtungua kipa wa Middlesbrough, Brad Guzan kutoka umbali wa mita sita kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 23 Uwanja wa Stamford Bridge, London katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana. Chelsea ilishinda 3-0 mabao yake mengine yakifungwa na Marcos Alonso dakika ya 34 na Nemanja Matic dakika ya 64 matokeo ambayo yanaishuka daraja rasmi Boro huku Te Blues ikizidi kuukaribia ubingwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAISHUSHA DARAJA BORO YENYEWE IKIUKARIBIA UBINGWA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top