• HABARI MPYA

  Thursday, April 20, 2017

  AMBAVYO SAMATTA YUKO TAYARI KUIBEBA GENK EUROPA LEAGUE LEO

  Mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Samatta akiwaongoza wachezaji wenzake wa KRC Genk mazoezini jana mjini Genk kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya UEFA Europa League dhidi ya Celta Vigo leo Uwanja wa Laminus Arena, Genk
  Mbwana Samatta anaonekana yuko fiti kwa mchezo huo ambao Genk wanahitaji japo ushindi wa 1-0 kwenda Nusu Fainali, baada ya kufungwa 3-2 kwenye mchezo wa kwanza Hispania  
  Mbwana Samatta hakutumika mwishoni mwa wiki katika mchezo 
  Mbwana Samatta kwa sasa ndiye mshambuliaji tegemeo wa KRC Genk 
  Mbwana Samatta ambaye hakufunga kwenye mchezo wa kwanza Hispania, amepania kufunga leo  
  Mbwana Samatta (kulia) akiwa mwenye furaha baada ya kumaliza mazoezi
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AMBAVYO SAMATTA YUKO TAYARI KUIBEBA GENK EUROPA LEAGUE LEO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top