• HABARI MPYA

  Wednesday, February 15, 2017

  PSG WAWAFANYA KITU MBAYA BARCELONA, WAWATANDIKA 4-0

  Wachezaji wa Barcelona wakielekea katikati ya Uwanja kinyonge kuanzisha tena mchezo baada ya kufungwa mabao 4-0 na wenyeji PSG usiku wa jana Uwanja wa Parc des Princes katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao ya PSG yalifungwa na Angel Di Maria mawili dakika za 18 na 55, Julian Draxler dakika ya 40 na Edinson Cavani dakika ya 71 na sasa Barca watatakiwa kushinda 5-0 Camp Nou kwenye mchezo wa marudiano PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PSG WAWAFANYA KITU MBAYA BARCELONA, WAWATANDIKA 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top