![]() |
| Rais Kikwete akiteremka ngazi jana baada ya kuhutubia |
![]() |
| Mwandishi wa Habari Athumani Hamisi alikuwepo kwenye sherehe hizo jana |
![]() |
| Maofisa wa Bosi ya Ligi, Fatuma na Rose walikuwepo jana |
![]() |
| Kutoka kulia Nahodha wa zamani wa Taifa Stars, Nsajigwa Shadrack, kipa wa zamani wa Yanga SC, Stephen Malashi na kocha wa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa |
![]() |
| Mchambuzi wa soka wa Azam TV, Jeff Leah (kulia) akiwa na Farough Baghozah, mmiliki wa kampuni ya TSN |
![]() |
| Mkurugenzi wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga alikuwepo jana |
![]() |
| Ofisa Habari wa TFF, Baraka Kizuguto (kulia) akimuonyesha kitu Nahodha wa Taifa Stars, Nadir Haroub 'Cannavaro' |
![]() |
| Arafat Bakari naye alikuwepo jana katika sherehe hizo |
![]() |
| Mabondia wa zamani, Emmanuel Mlundwa (kulia) na Anthiny Lutta kushoto |
![]() |
| Mwandishi wa Habari, Asha Kigundula (kushoto) na mumewe |
![]() |
| Zaituni Kibwana (kulia) na Sofia Komba (kushoto) |
![]() |
| Yassi Ustadh kulia na wanafamilia wenzake wa ndondi |
![]() |
| Alhaj Mintanga naye alikuwepo pia kwenye sherehe hizo |
![]() |
| Iddi Mshangama (kushoto) na Kalambo kulia walikuwepo pia jana |
![]() |
| Beki wa zamani wa Simba SC, Mohammed Bakari 'Tall' alikuwepo pia jana |
![]() |
| Jamal Rwambow kushoto na wadau wengine jana |
![]() |
| Waandishi nguli, Grace Hoka na Zena Chande walikuwepo pia jana |
![]() |
| Mwani Nyangassa na Majuto Omary walikuwepo pia jana |





















.png)
0 comments:
Post a Comment