• HABARI MPYA

  Saturday, September 22, 2012

  SAA CHACHE KABLA YA MTAKATIFU TOM KUTUPIWA VIRAGO...

  Hapa Kocha Mbelgiji wa Yanga, Tom Saintfiet alikuwa anatoka makao makuu ya klabu, baada ya kumaliza kuzungumza na Waandishi wa Habari na kutaja wachezaji 18 wa kushiriki mechi ya leo na JKT Ruvu. Kushoto kwake ni Hafidh Saleh, aliyekuwa Meneja wake.

  Kipa Said Mohamed kushoto na kiungo Nurdin Bakari kulia, wakitoka kusali sala ya Ijumaa. Katikati yao ni Dk Sufiani Juma makao makuu ya klabu, Jangwani

  Abdallah Bin Kleb akizungumza na Haruna Niyonzima baada ya sala ya Ijumaa

  Kutoka kulia, Haruna Niyonzima, Bin Kleb, Said Bahanuzi na Nurdin bakari baada ya sala ya Ijumaa, makao makuu ya klabu, Jangwani. 

  Bin Kleb na Bahanuzi


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAA CHACHE KABLA YA MTAKATIFU TOM KUTUPIWA VIRAGO... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top