• HABARI MPYA

  Tuesday, September 25, 2012

  MANJI AKUTANA NA VIJANA YANGA KUJADILI MAMBO

  Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Mehboob Manji akiwa katika kikao na wanachama wa vijana wa Yanga, makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam asubuhi hii.

  Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Celestine Mwesigwa (kulia) akizungumza na Katibu Mkuu mpya wa klabu hiyo, Lawrence Mwalusako asubuhi hii, makao makuu ya klabu Jangwani.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANJI AKUTANA NA VIJANA YANGA KUJADILI MAMBO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top