KLABU maarufu Portsmouth iliyowahi kutikisa katika Ligi Kuu ya England, imejikuta katika hali mbaya kifedha kwa mara ya pilin ndani ya miaka miwili.
Mabingwa hao wa Kombe la FA mwaka 2008, wanakabiliwa na adhabu ya kukatwa pointi 10 katika Ligi Daraja la Pili EA England, ambayo itawaacha na pointi kwa tofauti ya mabao tu kwenye eneo la hatari ya kushuka daraja.
Kampuni mama ya Portsmouth, Convers Sports Initiatives, inatarajifa kufanya mkutano huo Novemba.



.png)
0 comments:
Post a Comment