Mreno Cristiano Ronaldo, kushoto na Hugo Almeida katika mazoezi ya timu yao ya taifa kwenye Uwanja wa Taifa mjini Warsaw, Poland jana tayari kwa mchezo wa leo wa kirafiki baina ya timu hizo kwenye Uwanja huo, maalum kujiandaa fainali za Kombe la Mataifa Ulaya, Euro 2012 inayoandaliwa kwa pamoja na Poland na Ukraine.
Chelsea host Man Utd in Women's FA Cup - see full fifth-round draw
-
Holders Chelsea will take on Manchester United in the fifth round of the
Women's FA Cup - a repeat of last year's final.
59 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment