Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Mr. ii au Sugu’, wakati
akiondoka eneo la Uyole, baada ya kuweka jiwe la msingi katika
jengo la SACCOS-UWAMU lililopo Mbeya mjini, wakati akiwa katika
ziara yake ya Mkoa wa Mbeya jana Februari 25, 2012. Picha na Muhidin
Sufiani-OMR
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
51 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment