Agnieszka Radwanska wa Poland akimrudishia kitenisi Varvara Lepchenko wa Marekani, katika michuano WTA Qatar Open mjini Doha jana.
Mcheza tenisi wa Czech, Petra Cetkovska akirudisha kitenisi kwa Samantha Stosur wa Australia katika michuano ya WTA Qatar Open mjini Doha, jana.




.png)
0 comments:
Post a Comment