• HABARI MPYA

    Saturday, February 18, 2012

    ALIYOYASEMA VITALI BAADA YA KUPIGWA NA CHISORA...

    "Alinipiga sio kama bondia, bali kama mwanamke kwa mkono mtupu," alisema bingwa  wa ndondi za kulipwa uzito wa juu duniani, anayetambuliwa na WBC,  Vitali Klitschko baada ya kupigwa kibao na mpinzani wake katika pambano la leo usiku mjini Munich, Muingereza Dereck Chisora wakati wanapima uzito..
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ALIYOYASEMA VITALI BAADA YA KUPIGWA NA CHISORA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top