• HABARI MPYA

  Wednesday, October 02, 2019

  STERLING ATOKEA BENCHI NA KUFUNGA MAN CITY YASHINDA 2-0 ULAYA

  Mshambuliaji Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 66, zikiwa ni dakika 10 tu tangu aingie kuchukua nafasi ya Bernardo Silva kabla ya Phil Foden kufunga la pili dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Dinamo Zagreb kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Etihad 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: STERLING ATOKEA BENCHI NA KUFUNGA MAN CITY YASHINDA 2-0 ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top