Kylian Mbappe (kulia) akishangilia na Mauro Icardi (kushoto) baada ya kuifungia Paris Saint Germain mabao matatu dakika za 61, 79 na 83 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya wenyeji, Club Brugge kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Jan Breydel mjini Brugge. Mabao mengine ya PSG yalifungwa na Icardi dakika ya saba na ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Knicks vs. 76ers Game 4 live score, updates, highlights from 2026 NBA
playoffs
-
New York looking for a Sunday sweep in Philly.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment