• HABARI MPYA

  Wednesday, October 16, 2019

  ITALIA YAIGONGA LIECHTENSTEIN 5-0 KUFUZU EURO 2020

  Andrea Belotti akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Italia mabao mawili dakika za 70 na 90 na ushei katika ushindi wa 5-0 dhidi ya wenyeji, Liechtenstein kwenye mchezo wa Kundi J kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Rheinpark mjini Vaduz. Mabao mengine ya Italia yalifungwa na Federico Bernardeschi dakika ya pili, Alessio Romagnoli dakika ya 77 na Stephan El Shaarawy dakika ya 82 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ITALIA YAIGONGA LIECHTENSTEIN 5-0 KUFUZU EURO 2020 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top