Mshambuliaji Mmisri, Mohamed Salah akimrukia Nahodha wake, kiungo Jordan Henderson kushangilia naye baada ya wote kufunga katika ushindi wa 2-1 wa Liverpool dhidi ya Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Henderson alifunga la kwanza dakika ya 52 na Sakah la pili kwa penalti dakika ya 75, wakati bao pekee la Spurs limefungwa na Harry Kane sekunde ya 40 na kwa ushindi huo Liverpool imefikisha pointi 28 katika mchezo wa 10 sasa ikiwazidi pointi sita mabingwa watetezi, Manchester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Iran's famed singer Googoosh recalls family, exile and life in the spotlight
-
DUBAI, United Arab Emirates (AP) — For Googoosh, Iran's most-famous singer,
life always has been balancing act of one kind or another.
26 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment