Kiungo Alex Oxlade-Chamberlain (kulia) akipongezwa na wenzake washambuliaji Sadio Mane na Roberto Firmino baada ya kuifungia Liverpoool mabao mawili katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, KRC Genk kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Luminus ArenaPICHA ZAIDI GONGA HAPA
Knicks vs. 76ers Game 4 live score, updates, highlights from 2026 NBA
playoffs
-
New York looking for a Sunday sweep in Philly.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment