• HABARI MPYA

  Saturday, October 19, 2019

  CHELSEA YAILAZA NEWCASTLE UNITED 1-0 BAO PEKEE LA ALONSO

  Marcos Alonso akishangilia na Tammy Abraham baada ya kuifungia Chelsea bao pekee dakika ya 73 ikiilaza 1-0 Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge mjini London 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAILAZA NEWCASTLE UNITED 1-0 BAO PEKEE LA ALONSO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top