• HABARI MPYA

    Tuesday, October 29, 2019

    AISHI MANULA ALIVYOPATA MAPOKEZI MAZURI SIMBA SC ILIPOWASILI SHINYANGA KUIVAA MWADUI FC KESHO

    Mashabiki wa Simba SC wakimpiga picha kwa furaha kipa Aishi Manula baada ya kikosi cha timu hiyo kuwasili Shinyanga jana kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mwadui FC kesho Uwanja wa Kambarage
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AISHI MANULA ALIVYOPATA MAPOKEZI MAZURI SIMBA SC ILIPOWASILI SHINYANGA KUIVAA MWADUI FC KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top