Lionel Messi akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 34 na 75 katika ushindi wa 5-1 wa Barcelona dhidi ya Real Valladolid usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Clement Lenglet dakika ya pili, Arturo Vidal dakika ya 29 na Luis Suarez dakika ya 77, wakati la Real lilifungwa na Kiko Olivas dakika ya 15 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Eric Comrie makes 34 saves, Winnipeg Jets top Buffalo Sabres 4-1
-
WINNIPEG — Eric Comrie made 34 saves and Kyle Connor scored his
team-leading 15th goal of the season as the Winnipeg Jets downed the
Buffalo Sabres 4-1 on ...
19 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment