• HABARI MPYA

    Monday, October 14, 2019

    TAIFA STARS NA AMAVUBI HAKUNA MBABE AMAHORO, ZATOKA SARE YA 0-0 KIGALI LEO

    Manahodha Erasto Edward Nyoni wa Tanzania (wa pili kulia) na Haruna Hakizimana Niyonzima wa Rwanda (wa pili kushoto) kabla ya mechi baina ya timu hizo uliomalizika kwa sare ya bila kufungana usiku wa leo Uwanja wa Amahoro mjini Kigali
    Kikosi cha Taifa Stars kilichoanza leo dhidi ya Amavubi mjini Kigali
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS NA AMAVUBI HAKUNA MBABE AMAHORO, ZATOKA SARE YA 0-0 KIGALI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top