Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Juventus kwa penalti dakika ya 90 na ushei baada ya yeye mwenyewe kuchezewa rafu na Antonio Sanabria kwenye boksi katika ushindi wa 2-1 dhidi ya 2-1 kwenye mchezo wa Serie A usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Torino. Juventus walitangulia kwa bao la Leonardo Bonucci dakika ya 36, kabla ya Christian Kouame kuisawazishia Genoa dakika ya 40 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Smith drop an early blow in tale of two Ashes keepers
-
Why wicketkeeper Jamie Smith's drop on day two of second Ashes Test is
potentially worrying for England.
54 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment