• HABARI MPYA

  Wednesday, October 02, 2019

  RONALDO AFUNGA JUVENTUS YAICHAPA BAYER LEVERKUSEN

  Cristiano Ronaldo akifurahia baada ya kufungia Juventus bao la tatu dakika ya 88 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Bayer Leverkusen kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Torino. Mabao mengine ya Juventus yamefungwa na Gonzalo Higuain dakika ya 17 na Federico Bernardeschi dakika ya 61 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA JUVENTUS YAICHAPA BAYER LEVERKUSEN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top