Nyota wa Barcelona, Luis Suarez na Lionel Messi wakipongezana baada ya wote kufunga katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Eibar kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Uwanja wa Manispaa ya Ipurua. Messi alifunga dakika ya 58 na Suarez dakika ya 66 baada ya Antoine Griezmann kufunga la kwanza dakika ya 13 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Knicks vs. 76ers Game 4 live score, updates, highlights from 2026 NBA
playoffs
-
New York looking for a Sunday sweep in Philly.
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment