Beki Mgiriki wa Arsenal, Sokratis Papastathopoulos akilalamika baada ya kukataliwa bao lake dakika za mwishoni kufuatia refa Martin Atkinson kutazama marudio ya picha za video (VAR) wakitoa sare ya 2-2 na Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates. Mabao ya Arsenal yamefungwa na Papastathopoulos dakika ya saba na beki mwingine, Mbrazil David Luiz dakika ya tisa, wakati ya Crystal Palace yamefungwa na Luka Milivojevic kwa penalti dakika ya 32 na Jordan Ayew dakika ya 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Trossard revels in ‘joy’ of late Arsenal win at West Ham
-
Leandro Trossard has said the overriding feeling is ‘joy’ after scoring a
crucial winner for Arsenal at West Ham.Trossard fired home with seven
minutes rem...
8 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment