Wachezaji wa Manchester City wakimpongeza mwenzao, David Silva baada ya kufunga bao la pili dakika ya 41, kufuatia Gabriel Jesus kufunga la kwanza dakika ya 39 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Crystal Palace leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Selhurst Park mjini London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Knicks vs. 76ers Game 4 live score, updates, highlights from 2026 NBA
playoffs
-
New York looking for a Sunday sweep in Philly.
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment