Sergio Aguero na Nicolas Otamendi (kulia) wakipongezana baada ya wote kufunga katika ushindi wa 3-1 wa Manchester City dhidi ya Southampton kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Ligi England usiku wa jana Uwanja wa Etihad. Aguero aliyefikisha mechi 350 Manchester City jana, alifunga mabao yake dakika ya 38 na 56 baada ya Otamendi kufunga la kwanza dakika ya 20 kabla ya Jack Stephens kuifungia Southampton la kufutia machozi dakika ya 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tottenham Hotspur 1-3 Man Utd: Edinson Cavani scores as visitors fight back
-
Manchester United come from behind to win at Tottenham with Edinson Cavani
scoring a superb diving header.
24 minutes ago
0 comments:
Post a Comment