• HABARI MPYA

  Wednesday, October 02, 2019

  ZIDANE MAMBO MAGUMU REAL, CHUPUCHUPU KUPIGWA MADRID

  Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane akipangusa uso wake wakati wa mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Club Brugge uliomalizika kwa sare ya 2-2 usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Club Brugge ilitangulia kwa mabao ya mshambuliaji wake Mnigeria Emmanuel Dennis dakika ya tisa na 39 kabla ya Real Madrid kusawazisha kupitia kwa Sergio Ramos dakika ya 55 na Casemiro dakika ya 85 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ZIDANE MAMBO MAGUMU REAL, CHUPUCHUPU KUPIGWA MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top