• HABARI MPYA

  Wednesday, April 03, 2019

  YOUNG ATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU MAN UNITED YAPIGWA 2-1

  Refa Mike Dean akimuonyesha kadi nyekundu winga wa Manchester United, Ashley Young baada ya kumchezea rafu Diogo Jota wa Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Molineux mjini Wolverhampton, West Midlands. Mabao ya Wolverhampton yalifungwa na Diogo Jota dakika ya 25 na Chris Smalling aliyejifunga dakika ya 77, wakati la Man United lilifungwa na Scott McTominay dakika ya 13 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YOUNG ATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU MAN UNITED YAPIGWA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top