Ousmane Dembele wa Barcelona akikosa bao la wazi yeye na kipa Roberto Santamaria wa Huesca kipindi cha kwanza leo Uwanja wa El Alcoraz mjini Huesca kwenye mchezo wa La Liga timu hizo zikitoka sara ya 0-0 huku kocha Ernesto Valverde akimuanzisha kipa Marc-Andre Ter Stegen pekee katika wachezaji wake wa kikosi cha kwanza na kuwapumzisha wengine wote akiwemo Lionel Messi kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Manchester United Jumanne Uwanja wa Camp Nau PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Chelsea host Man Utd in Women's FA Cup - see full fifth-round draw
-
Holders Chelsea will take on Manchester United in the fifth round of the
Women's FA Cup - a repeat of last year's final.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment