• HABARI MPYA

    Sunday, April 28, 2019

    VARDY APIGA MBILI, LEICESTER CITY YAICHAPA ARSENAL 3-0

    Mshambuliaji Jamie Vardy wa Leicester City (kulia) akiondoka kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 86 katika ushindi wa 3-0 huku kipa wa Arsenal, Bernd Leno akigalagala leo Uwanja wa King Power kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Vardy pia alifunga bao la tatu dakika ya 90 na ushei, wakati bao la kwanza lilifungwa na Youri Tielemans na kwa ushindi huo Leicester City inafikisha pointi 51 baada ya kucheza mechi 36 na kupanda kutoka nafasi ya 11 hadi ya nane, wakati Arsenal inabaki nafasi ya tano na pointi zake 66 za mechi za mechi 36 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VARDY APIGA MBILI, LEICESTER CITY YAICHAPA ARSENAL 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top