• HABARI MPYA

  Thursday, April 11, 2019

  RONALDO AIFUNGIA LA KUONGOZA JUVE YATOA SARE 1-1 NA AJAX

  Cristiano Ronaldo akishangilia kwa staili yake maarufu baada ya kuifungia bao la kuongoza Juventus dakika ya 45 kabla ya David Neres kuisawazishia Ajax dakika ya 46 timu hizo zikitoka sare ya 1-1 usiku wa jana kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Johan Cruijff Arena mjini Amsterdam na sasa zitarudiana Aprili 16 Uwanja wa Allianz mjini Torino 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AIFUNGIA LA KUONGOZA JUVE YATOA SARE 1-1 NA AJAX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top