• HABARI MPYA

  Thursday, April 11, 2019

  CHRIS SMALLING 'ALIVYOMPASUA' LIONEL MESSI JANA OLD TRAFFORD

  Lionel Messi wa Barcelona akiwa ameumia uso baada ya kugongana na Chris Smalling wa Manchester United kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kipindi cha kwanza usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Barcelona ilishinda 1-0 bao la kujifunga la Luke Shaw dakika ya 12 na timu hizo zitarudiana Aprili 16 Uwanja wa Camp Nou, Barcelona 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHRIS SMALLING 'ALIVYOMPASUA' LIONEL MESSI JANA OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top