• HABARI MPYA

  Sunday, August 19, 2018

  TYSON ASHINDA, ATANGAZA RASMI KUZIPIGA NA WILDER

  Tyson Fury (kushoto) akimuadhibu mpinzani wake, Francesco Pianeta katika pambano lao la usiku huu Uwanja wa Windsor Park, Belfast. Fury ameshinda kwa pointi na kitangaza rasmi pambano lake lijalo ni dhidi ya Deontay Wilder ambaye alikuwepo kwenye pambano hilo na kukiri juu ya hilo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TYSON ASHINDA, ATANGAZA RASMI KUZIPIGA NA WILDER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top