• HABARI MPYA

  Wednesday, August 01, 2018

  SPURS YAITANDIKA MILAN 1-0 KIRAFIKI MAREKANI

  Mfungaji wa bao pekee la Tottenham Hotspur, Georges-Kevin N'Koudou (kushoto) dakika ya 47 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya AC Milan alfajiri ya leo Uwanja wa U.S. Bank mjini Minneapolis, Minnesota, Marekani akimtoka Franck Kessie katika mchezo huo wa kirafiki wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa kujiandaa na msimu mpya 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SPURS YAITANDIKA MILAN 1-0 KIRAFIKI MAREKANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top