• HABARI MPYA

    Wednesday, August 01, 2018

    NDOA YA ABDI BANDA NA ZABIBU KIBA KATIKA PICHA

    Beki wa kimataifa wa Tanzania, Abdi Banda (kushoto) akiwa na mkewe, Zabibu Kiba (katikati) na shemeji yake, mwanamuziki nyota nchini, Ally Kiba (kulia) baada ya kufunga ndoa alfajiri ya leo Tabata Sanene mjini Dar es Salaam 
    Abdi Banda anayechezea klabu ya Baroka FC ya Afrika Kusini akimwambia jambo mkewe 
    Abdi Banda katika picha ya pamoja na mkewe na shemeji yake na dada yake 
    Abdi Banda 'akimfichua' mkewe kabla ya safari ya Tanga ambako sherehe zaidi zimeendelea leo
    Abdi Banda akiwa na mpenzi wake wa muda mrefu, Zabibu ambaye sasa hatimaye ni mkewe
    Abdi Banda na ndugu na jamaa mbalimbali katika harusi hiyo iliyohudhuria na ndugu na jamaa wa karibu tu 
    Hapa Ally Kiba akimuozesha Abdi Banda dada yake    
    Iddi Godigodi, nyuma ya Ally Kiba naye alidamka kwenda kushuhudia zoezi hilo akiwa rafiki wa waolewaji
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NDOA YA ABDI BANDA NA ZABIBU KIBA KATIKA PICHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top