Wachezaji wa Yanga SC wakiwa mazoezini leo asubuhi mjini Morogoro kabla ya kupanda basi kurejea Dar es Salaam tayari kwa mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger ya Algeria Jumapili Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam
Beki wa Yanga na Nahodha mpya, Nadir Haroub 'Cannavaro' akiwa mazoezini leo Morogoro
Kiungo mpya wa klabu, Feisal Salum akiwa mazoezini leo Morogoro
Wakongo, Eritier Makambo (kulia) na Papy Kabamba Tshishimbi wakigombea mpira
Kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajib Migomba mazoezini leo Morogoro
Kiungo Juma Mahadhi akijivuta kupiga mpira leo








.png)
0 comments:
Post a Comment