• HABARI MPYA

  Friday, August 17, 2018

  KONGAMANO LA KUJADILI MAENDELEO YA SOKA KANDA YA ZIWA

  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia akizungumza kwenye Kongamano la maendeleo linaloshirikisha mikoa ya Mwanza, Geita, Kagera, Shinyanga, Simiyu, Mara na Rukwa ambao ni waalikwa. Kongamano hilo linalofanyika mkoani Mwanza ni la siku moja likitangulia kabla ya mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Mtibwa Sugar utakaochezwa kesho Uwanja wa CCM Kirumba jijini humo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KONGAMANO LA KUJADILI MAENDELEO YA SOKA KANDA YA ZIWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top