• HABARI MPYA

  Friday, August 17, 2018

  ADEBAYOR AAGA MAPEMA MICHUANO YA EUROPA LEAGUE

  Jeff Hendrick (kushoto) wa Burnley akitaniana na mchezaji wa zamani wa Arsenal na Tottenham, Emmanuel Adebayor ambaye kwa sasa anachezea Istanbul Basaksehir baada ya mchezo wa marudiano Raundi ya Tatu ya mchujo wa UEFA Europa League jana Uwanja wa Turf Moor. Burnley ilishinda 1-0, bao pekee la Jack Cork dakika ya 97 katika mechi iliyodumu kwa dakika 120 na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 1-0 baada ya sare ya 0-0 kwenye mchezo wa kwanza Uturuki 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ADEBAYOR AAGA MAPEMA MICHUANO YA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top