• HABARI MPYA

  Sunday, February 18, 2018

  WILFRED KIDAU ENZI ZAKE ANACHEZEA VIJANA YA ILALA, ‘KABAKAYEKA’

  Kikosi cha timu ya Vijana ya Ilala ‘Kabakayeka’ kabla ya mechi ya Kombe la Tusker dhidi ya Simba SC Machi 14, mwaka 2002 Uwanja wa Taifa, sasa Uhuru mjini Dar es Salaam. Wa pili kushoto waliochuchumaa ni kiungo Wilfred Kidau, ambaye kwa sasa ni Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WILFRED KIDAU ENZI ZAKE ANACHEZEA VIJANA YA ILALA, ‘KABAKAYEKA’ Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top