Kocha Mholanzi wa Singida United, Hans van der Pluijm akitafakari mambo wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar Uwanja wa Kaitaba, Bukoba uliomalizika kwa sare ya 1-1
Hans van der Pluijm hapa akitoa maelekezo kwa wachezaji wake
Kikosi cha Singida United kilichoanza dhidi ya Kagera Sugar jana


0 comments:
Post a Comment