• HABARI MPYA

  Thursday, February 01, 2018

  WALIOINGIA NA KUTOKA DIRISHA DOGO KILA KLABU LIGI KUU ENGLAND

  Pierre-Emerick Aubameyang amejiunga na Arsenal katika moja ya usajiloi mkubwa dirisha hili PICHA ZAIDI GONGA HAPA  


  DIRISHA dogo la usajili la Januari kwa mwaka huu 2018 limefungwa jana Saa 6:00 usiku huku ikishuhudiwa wachezaji kadhaa nyota wakisajiliwa katika siku ya mwisho.
  Kila kocha wa Ligi Kuu ya England, alikuwa akihangaika mwezi wote huu kutafuta wachezaji wapya wa kuongeza nguvu kwenye kikosi chake ili kuhakikisha kufika mwezi Mei anaonyesha tofauti.
  Ili kujua kila klabu imefanya nini katika dirisha hilo dogo la usajili kwa maana ya kuacha, kuuza na kununua wachezaji GONGA HAPA KUTAZAMA USAJILI WA KILA KLABU LIGI KUU ENGLAND 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WALIOINGIA NA KUTOKA DIRISHA DOGO KILA KLABU LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top