• HABARI MPYA

  Thursday, February 01, 2018

  WALCOTT AIFUNGIA MABAO YOTE EVERTON YAICHAPA 2-1

  Mshambuliaji mpya, Theo Walcott aliyesajiliwa kutoka Arsenal dirisha dogo akishangilia baada ya kuifungia Everton mabao yote dakika za 25 na 39 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Leicester City Uwanja wa Goodison Park. Bao la kufutia machozi la Leicester City limefungwa na Jamie Vardy dakika ya Uwanja wa  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WALCOTT AIFUNGIA MABAO YOTE EVERTON YAICHAPA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top