• HABARI MPYA

  Thursday, February 01, 2018

  SANCHEZ AKUTANA NA KIPIGO CHA SPURS 2-0 MAN UNITED

  Mshambuliaji mpya wa Manchester United, Alexis Sanchez akipambana mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane kuwania mpira wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Wembley, London. Spurs imeshinda 2-0 mabao ya Christian Eriksen sekunde ya 11 na Phil Jones aliyejifunga dakika ya 28 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SANCHEZ AKUTANA NA KIPIGO CHA SPURS 2-0 MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top