• HABARI MPYA

  Thursday, February 01, 2018

  MAN CITY YAITANDIKA WEST BROMWICH ALBION 3-0 KAMA WAMESIMAMA

  Mshambuliaji Muargentina, Sergio Aguero akifurahia na wenzake Bernardo Silva na Brahim Diaz baada ya kuifungia Manchester City bao la tatu dakika ya 89 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya West Bromwich Albion usiku wa Jumatano Uwanja wa Etihad, Mabao mengine ya City yamefungwa na Fernandinho dakika ya 19 na Kevin De Bruyne  dakika ya 68 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAITANDIKA WEST BROMWICH ALBION 3-0 KAMA WAMESIMAMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top