Mpira wa adhabu uliopigwa na kiungo Said Ndemla (nyuma kushoto) ukiwa unaingia nyavuni kuipatia Simba SC bao la kwanza katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Gendarmerie Tnare ya Djibouti katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza Kombe la Shirikisho Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Mshambuliaji Mganda wa Simba, Emmanuel Okwi akiwatoka wachezaji wa Gendarmerie Tnare
Emmanuel Okwi akienda chini baada ya kuchezewa rafu na wachezaji wa Gendarmerie Tnare
Beki Mghana wa Simba, Asante Kwasi akipambana hadi chini baada ya kusukumwa
Nahodha wa Simba, John Raphael Bocco akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Gendarmerie Tnare
Beki wa Simba, Shomary Kapombe (kulia) akiuwahi mpira dhidi ya mchezaji wa Gendarmerie Tnare
Kiungo Said Ndemla akitoa pasi mbele ya kiungo wa Gendarmerie Tnare
Mchezaji wa Gendarmerie Tnare akibinuka tik tak kuokoa
Kikosi cha Gendarmerie Tnare kabla ya mchezo wa jana
| Kikosi cha Simba SC kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa |


.png)
0 comments:
Post a Comment