• HABARI MPYA

  Sunday, February 11, 2018

  SALAH, FIRMINO WAFUNGA LIVERPOOL YASHINDA 2-0 ENGLAND

  Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 42 ikiibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Southampton Uwanja wa St. Mary's leo. Bao la kwanza limefungwa na Roberto Firmino dakika ya sita PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SALAH, FIRMINO WAFUNGA LIVERPOOL YASHINDA 2-0 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top