• HABARI MPYA

  Thursday, February 01, 2018

  CHELSEA WAKUNG'UTWA 3-0 KAMA WAMESIMAMA DARAJANI KWAO

  Cesc Fabregas na wachezaji wenzake wa Chelsea wakiwa hoi baada ya kufungwa bao la tatu, wakichapwa 3-0 na AFC Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao ya Bournemouth yamefungwa na Callum Wilson dakika ya 51, Junior Stanislas dakika ya 64 na Nathan Ake dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA WAKUNG'UTWA 3-0 KAMA WAMESIMAMA DARAJANI KWAO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top